• banner
  • banner
  • banner
  • banner
  • banner
  • banner
  • banner
  • banner
  • banner
  • banner

Karibu Katika

Kampuni ya Agreen mind limited

Mkurugenzi Mtendaji

Karibu Agreen mind limited!

Sisi ni kampuni yenye lengo la kuifanya jamii ya Kitanzania kuwa na maisha bora kupitia mambo makubwa mawili yaani Ukombozi wa kifikra na Kilimo hasa kwenye zao la parachichi kwa kuzingatia mnyororo wa thamani (Value chain).Sambamba na hilo tunahimiza sana wakulima tulime mfumo wa mashamba ya pamoja ili kufanya uzalishaji wenye tija na mafanikio katika soko. Kampuni hii imeazishwa na vijana kama sehemu ya kuwakomboa vijana wengine wengi kwa kujipatia Ajira na kipato kupitia sekta ya kilimo.
Soma Zaid

Habari na Matukio


SHUGHULI ZETU KUU


, 13
Jumla ya Wawekezaji
, 22
Jumla ya Mabalozi
, 8
Jumla ya Wanahisa
, 5
Jumla ya Wajumbe wa Bodi