Ukombozi wa Kifikra

Tunakusudia kubadilisha jamii yetu kupitia warsha za mabadiliko ya akili na ushauri ambao utalenga kuwapa vijana maarifa muhimu ambayo yatawaruhusu kutimiza malengo yao katika siku za usoni..