kampuni ya Agreen Mind Limited inajishughulisha na kilimo cha parachichi mbegu aina ya HASS pamoja na kusimamia miradi ya wakulima wengine kutoka kwenye hatua ya kutafuta mashamba, kuandaa, kupanda, kutunza, kuvuna na kupeleka sokoni (Mnyororo wa thamani) na kutoa elimu ya ukombozi wa kifikra kuhusu uwekezaji na maisha bora. Pamoja na hayo kampuni inatoa mpango wa kustaafu kwa wastaafu na wanaokaribia kustaafu