TUFIKE SHAMBANI


WAKULIMA KUTEMBELEA MRADI WA PARACHICHI


Kauli Mbiu:Tufike shambani

Mkurungenzi Mtendaji (Denis Ndamgoba),Kwa niaba ya uongozi wa kampuni ya Agreen Mind Limited anapenda kuwatangazia wakulima wote waliolima na kampuni kwenye mashamba ya pamoja katika mradi wa parachichi.

Kwamba tarehe 27 Mei 2023 tutakuwa na ziara ya kutembelea mradi shambani na kuona maendeleo yake.

Aidha,siku ya ijumaa ya tarehe 26 Mei 2023 Saa 10:00 jioni kutakuwa na kikao cha wakulima pamoja na uongozi katika ofisi kuu ya kampuni.

Unaombwa kuthibitisha kuwepo kwako kabla ya tarehe 25 Mei 2023 saa nane mchana katika namba ya simu +255 (0) 712 225 423 au 0629 4556 941.

Ahsante

Imetolewa na;
Idara ya habari na mawasiliano