20 june

UKOMBOZI WA KIFIKRA

Tunatoa mafunzo mbalimbali kwa njia ya semina,mikutano,ushauri na midaaro yenye mlengo wa kuwakomboa kifikra watanzania katika uwekezaji, kujitambu, biashara na kuwa na mitizamo chanya katika kilimo ili kuhakikisha kwamba kila mtu anakuwa na maisha yenye tija, na kuweka alama katika Taifa hili la Tanzania kizazi hadi kizazi..

4 comments

Leave a Reply

First Name *

Last Name *

Email *

Massage *