20 june

KILIMO BIASHARA.

Tuanalima kilimo cha zao la parachichi kwa njia ya mnyororo wa thamani,tikizingatia kutoka maandalizi ya upandaji hadi anafikiwa mlaji katika ubora.sambamba na hilo tunalima kwa pamoja ili kukifanya kilimo kuwa rahisi katika usimamizi adhimu wenye kuleta tija na manufaa kwa watanzania wengi..

4 comments

Leave a Reply

First Name *

Last Name *

Email *

Massage *