20 june

VIWANDA Na MASOKO

Kwa kufanya ukombozi wa kifikra na watu kijihusisha na kilimo ,imani yetu malighafi itakuwa ya kutosha kataka mnyororo wa uzalishaji hivyo kiwanda kitakuwa kikichakata parachichi ili kuongeza thamani na kuliimalisha soko la zao hilo kwa wakulima wa shmba la pamoja na wengine ..

4 comments

Leave a Reply

First Name *

Last Name *

Email *

Massage *